iqna

IQNA

Hakimeh Saghaye-Biria
Msomi wa Iran
TEHRAN (IQNA) – Msomi wa Iran Dkt. Hakimeh Saghaye-Biria , amesema taasisi za utafiti nchini Marekanizinatumiwa kupanga sera za serikali ya nchi hiyo kuhusu ulimwengu wa Kiislamuna hasa dhidi ya harakati za muqawama au mapambano ya Kiislamu.
Habari ID: 3472940    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/08